• Ugeni wa Katibu Mkuu chuoni
    Katibu akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya mkuu wa chuo.
  • Ugeni wa Katibu Mkuu
    Katibu Mkuu akiwa katika maabara ya udongo akisikiliza maelezo kutoka kwa wanachuo.
  • Ugeni wa Katibu Mkuu
    Katibu mkuu akiwa katika maabara ya kompyuta akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi
  • Ugeni wa Katibu Mkuu chuoni
    Katibu Mkuu akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa chuo Mabughai CDTTI.
  • Ugeni wa Katibu Mkuu
    Katibu akikagua kazi zinazofanywa na wanfunzi wa Mabughai CDTTI
  • Ugeni wa Katibu Mkuu
    Mkuu wa chuo wa Mabughai CDTTI akihutubia wanafunzi pamoja na wageni waalikwa.
  • Ugeni wa Katibu Mkuu chuoni
    Katibu Mkuu akiwa ndani ya maabara ya komputer akikagua michoro iliyochorwa na wanafunzi.

News and Updates

Our Programmes